Ikifahamika kama ardhi ya milima elfu moja, huenda Rwanda isiwe sehemu bora kuzindua matumizi ya magari ya umeme. Ardhi ngumu ya vijijini ni mbaya kwa gari lolote, lakini hususan ni kwa miundo ya ...
Enzi mpya ya magari yanayopaa inakaribia kuanza. Mnamo tarehe 12 Juni 2023, Utawala wa Shirikisho la Usafiri wa Anga (FAA) ulitoa Cheti Maalum cha usafiri wa Anga kwa modeli ya gari linalopaa ...
Kampuni ya kutengeneza magari nchini Japani ya Suzuki Motor inasema kupungua kwa mahitaji ya magari ya umeme nchini India na barani Ulaya kumeichochea kufikiri upya mipango yake ya nusu ya pili ya ...
Leo maonyesho ya magari ya kimataifa yanafungua milango yake kwa watazamaji mjini Frankfurt hapa Ujerumani. Kwa siku kumi zijazo makampuni elfu moja kutoka nchi 45 yataonyesha bidhaa zao mpya.
Waziri mpya wa biashara wa Japani Akazawa Ryosei anasema yuko tayari kusaidia makampuni yaliyo tayari kujiunga na kampeni ...
‘WANATESA kote kote.’ Ndicho unaweza kusema kwa mastaa wa mpira wa kikapu huko Marekani kama vile LeBron James na Stephen ...
Makampuni sita ya magari yataahidi kusita kutengeneza magari yanayotumia mafuta ifikapo mwaka 2040, katika mkutano wa kilele wa mabadiliko ya tabianchi COP26 ili kupunguza uzalishaji wa gesi chafu.
Rais wa Marekani Donald Trump anaendelea na mashambulizi yake makubwa ya kibiashara. Siku ya Jumatano, ametangaza nyongeza ya asilimia 25 ya ushuru wa forodha kwa magari, na Alhamisi, Machi 27, ...
Mkoa wa Iringa unajiandaa kupokea mafuriko ya watalii, wafanyabiashara na wadau wa michezo ya magari kupitia Landlover ...
Waziri wa Masuala ya Humu Nchini, Joseph Nkaissery ametetea ufaafu wa magari ya kivita yaliyonunuliwa na Idara ya Majeshi ya Ulinzi ya Kitaifa KDF kwa shilingi bilioni 1.1 kusaidia katika kukabili ...
Nchini Mali, shinikizo kutoka kwa JNIM, kundi la kigaidi lenye mafungamano na al-Qaeda na kuongozwa na Iyad Ag Ghaly, ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results