“Alinipigia kuniuliza mchana nimepika nini, nikamwambia nimepika ugali. Akasema atakuja muda si mrefu, ameitwa anakwenda kukutana na afande Edward kwenye baa moja huko Nyakato. Huyu afande Edward ...
"Waarabu na Waislamu wote wako wapi? Wako wapi watetezi wote wa haki za binadamu? Mumewaacha watu wa Palestina wakiteseka, wakilala njaa na kuangamizwa." Mwanamke mwenye umri wa makamo aishambulia ...