TAASISI zote zinazokusanya au kuchakata taarifa binafsi nchini zimetakiwa kuhakikisha zinajisajili kabla ya Aprili 8, mwaka huu, vinginevyo zitakabiliwa na hatua kali za kisheria ikiwemo faini ya hadi ...