Lengo lililotajwa na utawala wa kijeshi ni kufafanua majukumu ya rais na waziri mkuu na kuleta utulivu katika taasisi kabla ya uchaguzi wa rais uliopangwa kufanyika Desemba 6. Katiba iliyopendekezwa ...
SARE mpya ya polisi imezinduliwa huku kukiwa na maswali kuhusu zabuni inayokadiriwa kugharimu hadi Sh3 bilioni. Rais William Ruto alizindua sare hiyo jana katika hafla ya kuhitimu kwa maafisa wapya ...
Mheshimiwa Deogratius John Ndejembi, aliyekuwa Waziri wa Nishati ndiye Mwanachama wa CCM anayependekezwa kwa nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuziba nafasi ya Balozi Dkt ...
Uamuzi huo umefikiwa na Halmashauri Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan. Iwapo atathibitishwa kwa mujibu wa taratibu za kikatiba, Ndejembi mwenye umri wa miaka 43 atachukua ...
Dar es Salaam. Mbunge wa Tunduru Kaskazini (ACT-Wazalendo), Ado Shaibu, ameitaka Serikali kuweka wazi mbele ya Bunge ratiba na hatua zote za mchakato wa kupata Katiba mpya, ikiwamo muda wa kuanza na ...
London, England. Mpenzi wa mchezaji mpya wa Chelsea, Pep Chavarria, amefichua hofu yake kuhusu kuhamia London, baada ya mwanasoka huyo kusaini mkataba wa miaka mitano na klabu hiyo. Mpenzi huyo, ...