KAMA kuna kitu ambacho Ramadhani Brothers wamekifanya kwa miaka ya hivi karibuni ni kugeuza sarakasi kutoka kuwa kipaji cha Tanzania na kuwa bidhaa inayotazamwa kwenye majukwaa makubwa ya kimataifa, ...
BAADA ya kuchukua tahadhari kwa miezi kadhaa, Wizara ya Afya jana ilithibitisha kisa cha kwanza cha Ebola aina ya Bundibugyo nchini Kenya. Wizara ilisema mgonjwa huyo aliyekuwa raia wa Kenya alifariki ...
We have the 4-letter answer for “see ya!” crossword clue, last seen in the Vulture Crossword October 6, 2026 puzzle. This answer will help you finish the puzzle you’re working on.
GEITA: SERIKALI imejizatiti kuimarisha utafiti wa kina wa jiofizikia kutoka takribani asilimia 16 ya sasa hadi angalau kufikia asilimia 50 ya eneo lote la nchi ifikapo mwaka 2030. Mpango huo unalenga ...
KENYA imepewa leseni ya kutengeneza dawa mpya ya kumeza ya kuzuia maambukizi ya ukimwi, hatua inayoiweka miongoni mwa nchi tatu Afrika zitakazozalisha dawa hiyo kwa ajili ya masoko ya Afrika. Kampuni ...
Mazishi ya Manassé Lomboto, mwanaharakati wa upinzani aliyefariki kutokana na majeraha aliyoyapata waati wa maandamano ya upinzani ya Septemba 15 dhidi ya marekebisho yoyote ya katiba nchini DRC, ...
Baadhi ya magari yanayotumika migodini na shughuli binafsi, yakiwasili katika eneo la maonyesho uwanja wa Dk Samia Hassan, leo Septemba 22, 2026 Manispaa ya Geita. Geita. Wachimbaji wa madini wa ngazi ...
Dar es Salaam. Masaki Wellspring Hub (MWH), kwa kushirikiana na Mradi wa GenZERO Sickle Cell 2050 wa Ruge Mutahaba Foundation, imeandaa Maonyesho ya Afya Masaki 2026 yatakayofanyika Jumapili, Septemba ...