Tukio hilo limetokea wakati akiendelea kuzungumza, Mzee Warioba alianguka ghafla, hali iliyosababisha shughuli za mkutano kusitishwa kwa muda.
Information You Can Trust: Stay instantly connected with breaking stories and live updates. From politics and technology to entertainment and beyond, we provide real-time coverage you can rely on, ...
Mamlaka nchini Nepal zinasema watu 1,259 wamefariki tangu kutokea kwa mafuriko ya ghafla Agosti 26 huku wengine zaidi ya 5,000 wakiwa hawajulikani walipo.
Information You Can Trust: Stay instantly connected with breaking stories and live updates. From politics and technology to entertainment and beyond, we provide real-time coverage you can rely on, ...
Serikali imetoa ufafanuzi kuhusu amri iliyotolewa na Rais  William Ruto wiki jana ya kufanywa kwa msako kwa raia wote wa ...
Wanariadha 14 wa Kenya ni miongoni mwa wanariadha 381 kutoka mataifa 65, wanaotarajiwa kushiriki makala ya kwanza ya ...
Upinzani umetakiwa kukoma kuwachosha Wakenya na kaulimbiu za kila mara na zisizokuwa na maana za Kasongo na “wantam”.  Rais ...
Rais William Ruto amezindua miradi kadhaa ya maendeleo katika kaunti ya Kajiado siku ya Jumatatu, alipoendeleza ziara yake ya ...
Chama cha Madaktari nchini (KMPDU) kimetoa ilani ya siku saba kwa serikali kabla ya kuanza mgomo wa kitaifa. Wakiwahutubia ...
Rais William Ruto amezindua miradi kadhaa ya maendeleo katika kaunti ya Kajiado siku ya Jumatatu, alipoendeleza ziara yake ya ...
Hafidh Ameir Hassan, mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefariki dunia leo, Septemba ...
Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba, ameanguka ghafla wakati akizungumza katika mkutano wa kitaifa wa kutafakari hali ya ...