Mwanamuziki Diamond Platnumz ameiomba Serikali kutengeneza Arena kwa ajili ya matamasha ma-kubwa ya muziki kama Trace.