Mwanamuziki Diamond Platnumz ameiomba Serikali kutengeneza Arena kwa ajili ya matamasha ma-kubwa ya muziki kama Trace.
UKIWA shabiki wa Simba utakuwa unashangilia mabao anayotupia kinara wa mabao wa timu hiyo, Jean Charles Ahoua lakini kule ...
SIMBA inajiandaa kulihama jiji la Dar es Salaam ili kwenda Arusha kuvaana na Coastal Union kabla ya kurejea kujiwinda dhidi ...
KAMA unafikiria mambo ni mazuri kwa makipa, basi elewa kwamba kuna mambo yanayoendelea viwanjani ambayo yamewagusa katika timu, huku mechi za Ligi Kuu Bara zikibakia takriban tisa ili ...
MIAMBA ya soka ya Italia, Napoli imeripotiwa kujiandaa kwa ajili ya kwenda kupeleka ofa huko Manchester United ili kunasa ...
PALE Yanga kuna mastaa kibao wanaowaka kwa sasa wakipambana kulisaka taji la nne mfululizo la Ligi Kuu Bara msimu huu, huku ...
MECHI 10 zilizobaki za Simba mzimu huu zinaendelea kuwaumiza viongozi wa klabu hiyo wakipiga hesabu za namna ya kuzicheza ili ...
BAADA ya kuvuna pointi nane katika mechi tano zilizopita katika Ligi Kuu Bara, wachimba dhahabu wa KenGold leo jioni itashuka ...
KLABU ya Azam inatarajia kufanya mabadiliko makubwa katika safu ya ushambuliaji mwishoni mwa msimu huu ikiwamo kumtema mshambuliaji wa kati, Jhonier Blanco aliyeshindwa kuonyesha kiwango cha ...
NAHODHA wa zamani wa Simba na Taifa Stars ambaye kwa sasa anakipiga JKT Tanzania, John Bocco amemtaja Leonel Ateba (Simba) na ...
OFISA Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Almasi Kasongo amesema kutegemea kamati ya waamuzi bado ni tatizo tofauti na mataifa mengine yaliyoendelea, wakati akichangia mjadala unaohusu, ...
MANCHESTER United italazimika kulipa fidia ya Pauni 12 milioni endapo kama itaamua kumfuta kazi kocha Ruben Amorim mwishoni ...