Mheshimiwa Deogratius John Ndejembi, aliyekuwa Waziri wa Nishati ndiye Mwanachama wa CCM anayependekezwa kwa nafasi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuziba nafasi ya Balozi Dkt ...
Uamuzi huo umefikiwa na Halmashauri Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wake, Rais Samia Suluhu Hassan. Iwapo atathibitishwa kwa mujibu wa taratibu za kikatiba, Ndejembi mwenye umri wa miaka 43 atachukua ...
Dar es Salaam. Safari ya Tanzania kuvuna megawati 2,115 za umeme itaanza kesho, Agosti 22, 2026, litakapozinduliwa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JHPP) na Rais Samia Suluhu Hassan, lenye uwezo wa ...