ALEXIES Mac Allister alitumia miguu yake kuzungumza baada ya malalamiko yake ya kutokupewa mkataba mpya, akifunga bao la ...
ILE video inayowaonyesha Mzee Murtaza Mangungu na Mzee Crescentius Magori wakitoka pamoja uwanjani kule Malawi ina maana kubwa sana kwa Simba.
MIGHTY Wanderers wanaotarajiwa kutua Tanzania muda wowote kuanzia sasa, ni kama wamepata nguvu mpya kuelekea mchezo wa ...
NYOTA wa Simba, Anicet Oura, anaamini msimu huu unaweza kuwa bora kwao katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika tofauti na ...
WAKATI mwingine watu hufikiria kila kitu kimekwisha, na hapo ndipo maisha yanapotoa nafasi nyingine ya kuanza upya kwa ...
KAMA kuna kitu kinachoongeza ladha katika Ligi Kuu Bara msimu huu, basi ni uwepo wa mastaa kutoka mataifa mbalimbali waliokuja Tanzania kuonyesha uwezo.
Vivienne Lia juzi aligeuka kuwa mwiba kwa Tanzania akihusika moja kwa moja katika mabao mawili ya England iliyoichapa ...
LEJENDARI wa Bongofleva, Juma Kassim ‘Sir Nature’ katika vitu anavyoviamini kwenye kazi ya muziki ni akili kubwa ya kujua jamii inataka kitu gani na kuipa furaha, akidai hiyo ndiyo ...
MSHAMBULIAJI wa Tanzania, Clara Luvanga amejiunga na klabu ya Washington Spirit inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini Marekani akitokea Al Nassr ya Saudia.
Uchunguzi ulionesha kuwa hakuwa ameteketea kwa moto na kufa bali aliyeteketezwa alikuwa mtu mwinggine lakini aliwekewa ...
CHAMA cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Pwani (COREFA), kimetoa amri kwa timu zote mkoani humo kuhakikisha zinakuwa na makocha rasmi na itakayokiuka haitoruhusiwa kushiriki mashindano yoyote ya ...
KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania chini ya miaka 20, Bakari Shime, amesema bado hajakata tamaa na ana imani kuwa timu hiyo ina nafasi ya kusonga mbele katika hatua ya 16 bora ...