KLABU ya Turgutluspor imeandika historia katika soka la Uturuki baada ya kumteua mrembo Zeynep Mestan (22), kuwa kocha mpya ...
ILE video inayowaonyesha Mzee Murtaza Mangungu na Mzee Crescentius Magori wakitoka pamoja uwanjani kule Malawi ina maana kubwa sana kwa Simba.
ALEXIES Mac Allister alitumia miguu yake kuzungumza baada ya malalamiko yake ya kutokupewa mkataba mpya, akifunga bao la ...
MIGHTY Wanderers wanaotarajiwa kutua Tanzania muda wowote kuanzia sasa, ni kama wamepata nguvu mpya kuelekea mchezo wa ...
NYOTA wa Simba, Anicet Oura, anaamini msimu huu unaweza kuwa bora kwao katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika tofauti na ...
LEJENDARI wa Bongofleva, Juma Kassim ‘Sir Nature’ katika vitu anavyoviamini kwenye kazi ya muziki ni akili kubwa ya kujua jamii inataka kitu gani na kuipa furaha, akidai hiyo ndiyo ...
Uchunguzi ulionesha kuwa hakuwa ameteketea kwa moto na kufa bali aliyeteketezwa alikuwa mtu mwinggine lakini aliwekewa ...
MSHAMBULIAJI wa Tanzania, Clara Luvanga amejiunga na klabu ya Washington Spirit inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake nchini Marekani akitokea Al Nassr ya Saudia.
KOCHA MKUU wa Uhamiaji, Sheha Khamis amesema timu hiyo licha ya kupata ushindi katika mechi mbili ilizocheza katika Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) msimu huu, lakini itaendelea kujipanga ...
Pamoja na kukiri ugumu wa Ligi Kuu Bara msimu huu, kiungo mshambuliaji wa Namungo, Herbert Lukindo amesema uhakika wa namba ...
CHAMA cha Mpira wa Miguu Mkoa wa Pwani (COREFA), kimetoa amri kwa timu zote mkoani humo kuhakikisha zinakuwa na makocha rasmi na itakayokiuka haitoruhusiwa kushiriki mashindano yoyote ya ...
KOCHA Mkuu wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania chini ya miaka 20, Bakari Shime, amesema bado hajakata tamaa na ana imani kuwa timu hiyo ina nafasi ya kusonga mbele katika hatua ya 16 bora ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results